Nunua nyumba ya ukweli fasta

kongomboli

Senior Member
Apr 11, 2011
155
34
Nyumba inauzwa,ipo mbezi luguluni ina vyumba 4, viwili master na viwili vina public toilet,sebule,jiko,stoo,dining na mazingira mazuri kwa nje (geti)

bei ni tshs millioni 80

wahi mapema
piga 0715-46 74 47
 
weka picha mkubwa! Umeme,maji yapo?ni umbali gani from morogoro road?wape watu data wakutafute!
 
Luguruni pale kuna tetesi kwamba kuna watu walivamia viwanja, hivyo muda si mrefu wataondolewa.
Ushauri wangu; kabla hujanunua make sure umekwenda Ardhi na umekuwa na uhakika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom