habari wandugu nauza gari aina (daladala) aina ya ford mwaka 1992 ina hali nzuri bei maelewano picha hapo engine diseal kuna spare ingine na gear box nyingine
Member wanahitajika kwa mradi unaotarajiwa kuanza haraka mkoani morogoro. Fika ofisini kwetu Tabata Aroma kwa maelezo zaidi au piga simu # 0715922392, 0767922392, 0714025656, 0767025656, au email...
Poleni na majukumu wapendwa wana JF wote.
Ninatafuta chumba cha kupanga maeneo ya Kinondoni (Moroco au hapo block 3 karibu na biafra).Kwa yeyote mwenye taarifa au ana chumba anapangisha naomba...
NEW ERA LEARNINH CENTER ni kituo bora cha elimu ya sekondari kwa wanafunzi wa kujitegemea:
QT, IV, VI kwa miaka mitatu pia tunamadarasa ya watu wa OPEN UNIVERSITY
tupo ubungo N.H.C shule ya...
Hi wana JF wote,
Natafuta wanunuzi kuni za jumla.
Nina mashamba mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni.
Eneo yalipo mashamba hayo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa...
HAYA TENA WANA JF KUNA NYUMBA INAUZWA SINZA KARIBU NA LION HOTEL IMEPAKANA NA BARABARA YA KWENDA KWA<strong> MWAIBULA.</strong> NI MAKAZI YA MTU, NA INA ENEO KUBWA PAMOJA NA MABANDA YA UWANI...
Tunatengeneza,milango,madirisha,oficepatition,wollshelf za aina yote, salon zakike nazakiume.napia tuna tengeneza display showcase za ainazote.
0652 394427.beini za kiujamaa kabisa.
Jamani nina plot nauza ipo Nyamhongoro Block B, ina ukubwa wa sq m 640 (21mx30m) ina bomba la maji na nguzo ya umeme, ina vyumba 4 , library,dining, stoo , sebule na kitchen. Nyumba iko kwenye...
Nyumba kubwa inauzwa. Ipo Mtoni kwa Aziz Ali, Dar es Salaam, karibu sana na Kilwa Road. Ina vyumba vya kulala 3 (kimoja master), sebule kubwa, jiko na stoo. Pia kuna banda la uani – vyumba 5...
pata Laptop mpya kabisa! Kuna Getway core 2 duo, hard disk 500gb, ram 4gb bei laki 8 na nusu. Hp dv6 core i3, hard disk 500gb, ram 4gb, 3.0ghz bei laki 9. Kuna hp dv6 amdquadro hard disk 720 gb...
Wadau naomba msaada wenu, mimi kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi niliacha sasa ni mwezi mmoja. japo nimepata kazi ya kujishikiza, nina shida sana ya kuchungua MICHANGO ya NSSF ambayo nimechangia...
Mimini Graphic Designer nina uzoefu wa miaka 2.5, nimefuzu kozi za: Photoshop, Illustrator,
Quarke Express, ColarDraW na Pagemaker contact with my email: digitalsimage@yahoo.com
Wadau natafuta Tractor aina ya Marsey Furgeson ya Horse Power80 iwe brand New.
Nikipata bei pamoja na Jembe lake nitashukuru sana kwa wale wa UINGEREZA wanaweza nipa Bei hadi kufika hapa TZ au ya...
Tsup guys..... Nauza iphone 3gs 16 gb ipo katika good condition kabisa. Lots of apps and games. The phone is jailbroken and you got a chance to download any app you want.... Some of the apps...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.