Toyota Starlet mill 7 inauzwa

Toyota Starlet mill 7 inauzwa

babuwaloliondo

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
378
Reaction score
174
Toyota starlet imetumika miezi 9, inauzwa, mill 7, kama uko interest nipm,
 
inagarage humo ndani au ukiipanda inapaa kama ndege....popoooooooooooooooo
 
Kweli Free market,starlet imetumika karibia mwaka mzima mil7? Si bora ninunue carina au vista mpya kutoka japani
 
Counter offer yangu, 2.5 mil. natafuta gari manual yenye kula wese kidogo.
 
Hiyo milion 7 unapata Gx100 au Premio kali tu. Ya nini kutembelea mkebe ambao safari ya Dar - mbeya tu inabidi ukeshe mwezi mzima kufanya maombi? Offer price 2.5M kama hutaki piga MBIZI.
 
bora niendelee kusaga mkuu kuliko kujipa headache na starlet.
 
Babu vp wateja wa vikombe hawaji?ndo umeamua kuuza gari used zaidi ya bei ya dukani?pole kwa matatizo
 
Hiyo milion 7 unapata Gx100 au Premio kali tu. Ya nini kutembelea mkebe ambao safari ya Dar - mbeya tu inabidi ukeshe mwezi mzima kufanya maombi? Offer price 2.5M kama hutaki piga MBIZI.

Tuacheni utani, hivi bei za magari mnazijua kweli au mnatania?
GX100 kwa m7kwa sasa sidhani kama inatembea hyo.
 
ninayo Toyota Hiace super custom na Toyota Noah just from the port, reg numbers BXU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom