Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

gozo

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
458
Reaction score
86
Habari wana JF..kuna kiwanja kinauzwa 1.5 Mil kina ukubwa wa 20*25 kimepimwa na kina hati zote,kipo sehemu nzuri,kinafikika kwa urahisi,kipo maeneo ya mpiji magohe dar es salaam ukifika mbezi ya kimara unapanda magari yaendayo mpiji magohe..
Kwa mawasiliano piga +255657 174 970
 
Mkuu hicho kiwanja bado kipo au umeshauza?
 
Vp hyo barabara ya kwenda mpiji imewekwa lami au ipo vilevile ya kokoto? nitafutie heka moja iliyokua square ninunue.

barabara iko poa inapitika all the time mkuu tuwasiliane tu kwa number hapo juu tufanye biashara..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom