Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta Nadia, isiwe ya Engine D4. Mwenye nayo,aweke picha hapa, na anipe bei yake ya mwisho. mimi ni dalali, niwe muwazi. au tuma ujumbe au kupiga simu 0763 894508.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aina ya computer ni DELL(D630) na ina zigezo vifuatavyo; HARD DISK 80GB PROSCESSOR INTER(R) CORE(TM)2DUO CPU TZ7250@2.00GHZ MEMORY(RAM) 1.00GB DVD RW DRIVE,WIRELESS NA BLUETOOTH. INA GARANTEE YA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza photocopy machine ir 1600 kwa sh.1,100,000.00 ni nzuri imetumika kidogo sana toka itumiwe Ulaya(ni mtumba) Ni[igie 0788133174
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu kuna matractor yanauzwa kwa ajili ya kilimo kutoka uingereza yapo katika hali nzuri kabisa na bei poa, kama tunavyojua hakuna ushuru bandari kutoa vifaa vya kilimo kama tractors kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kina ukubwa mita za mraba 800 au 40 kwa 20.Sea view ukiwa hapo katika kiwanja unaitazama bahari Kina hati miliki.Bei 19mil. Maelewano yapo. 0717114409
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HP Compaq dc7600 Convertible Minitower Intel Pentium 4 CPU 3.20GHz (2 CPUs) 1024MB RAM 300 GB HDD Ms Windows XP Professional Service pack 2 2 DVD ROMs Pamoja na: Monitor Dell 17 Inch...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
anayehitaji ani PM faster...bei si issue cha msingi kuiuza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji kioo cha E system.ft 13.3 widescreen.mwenye nacho achek nami on 0717561056
0 Reactions
3 Replies
973 Views
Wadau nimeambiwa kuna mtu anauza Universal moderm ambayo naweza kutumia laini yoyote..Kama ipo contact zako tafadhali usisahau kunitupia na gharama ya mzigo wenyewe Thanks
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF nauza gari yangu aina ya L/Rover Discovery Engine TDI 200 ya mwaka 1993. gari ipo DSM ipo katika hali nzuri inatembea. wasiliana nami kwa namba 0715 315496
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari wandugu nauza gari aina (daladala) aina ya ford mwaka 1992 ina hali nzuri bei maelewano picha hapo engine diseal kuna spare ingine na gear box nyingine
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Member wanahitajika kwa mradi unaotarajiwa kuanza haraka mkoani morogoro. Fika ofisini kwetu Tabata Aroma kwa maelezo zaidi au piga simu # 0715922392, 0767922392, 0714025656, 0767025656, au email...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Poleni na majukumu wapendwa wana JF wote. Ninatafuta chumba cha kupanga maeneo ya Kinondoni (Moroco au hapo block 3 karibu na biafra).Kwa yeyote mwenye taarifa au ana chumba anapangisha naomba...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
NEW ERA LEARNINH CENTER ni kituo bora cha elimu ya sekondari kwa wanafunzi wa kujitegemea: QT, IV, VI kwa miaka mitatu pia tunamadarasa ya watu wa OPEN UNIVERSITY tupo ubungo N.H.C shule ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
It's for sale in a good condition kama unahitaji ni PM.ma PHONE NO.0756306963
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi wana JF wote, Natafuta wanunuzi kuni za jumla. Nina mashamba mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni. Eneo yalipo mashamba hayo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamii naomba msaada wa wapi naweza kununua washing machine used hapa Dar .Tafadhali nisaidieni ni urgent.Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HAYA TENA WANA JF KUNA NYUMBA INAUZWA SINZA KARIBU NA LION HOTEL IMEPAKANA NA BARABARA YA KWENDA KWA<strong> MWAIBULA.</strong>&nbsp;NI MAKAZI YA MTU, NA INA ENEO KUBWA PAMOJA NA MABANDA YA UWANI...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tunatengeneza,milango,madirisha,oficepatition,wollshelf za aina yote, salon zakike nazakiume.napia tuna tengeneza display showcase za ainazote. 0652 394427.beini za kiujamaa kabisa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani nina plot nauza ipo Nyamhongoro Block B, ina ukubwa wa sq m 640 (21mx30m) ina bomba la maji na nguzo ya umeme, ina vyumba 4 , library,dining, stoo , sebule na kitchen. Nyumba iko kwenye...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…