3squere JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 925 Reaction score 181 Jan 18, 2012 #1 Mwenye laptop nzuri ina kama ram 1+ hdd 200+ kama webcam tuwasiliane sasa ivi 0756669331
Mr.mzumbe JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 1,063 Reaction score 1,065 Jan 18, 2012 #3 3squere said: Mwenye laptop nzuri ina kama ram 1+ hdd 200+ kama webcam tuwasiliane sasa ivi 0756669331 Click to expand... ukipata kwa bei hyo,nakuhaidi kufa.
3squere said: Mwenye laptop nzuri ina kama ram 1+ hdd 200+ kama webcam tuwasiliane sasa ivi 0756669331 Click to expand... ukipata kwa bei hyo,nakuhaidi kufa.
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Jan 18, 2012 #4 Ipo ninayo hapa ya bei hiyo ambayo baada ya wiki moja unaitupa kwenye dampo!
E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Jan 18, 2012 #5 tuwasiliane nakupa kitu used,ukitoka nje ya duka langu tu kitakachotokea ni wewe na mungu wangu,laptop hutorudisha dukani la sivyo ongeza pesa tuongee biashara ongeza laki nne nakupa laptop mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
tuwasiliane nakupa kitu used,ukitoka nje ya duka langu tu kitakachotokea ni wewe na mungu wangu,laptop hutorudisha dukani la sivyo ongeza pesa tuongee biashara ongeza laki nne nakupa laptop mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
K komredi ngosha JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 382 Reaction score 71 Jan 18, 2012 #6 laptop yangu ni dell, 2gb ram, core 2 duo, hdd 80, haina webcam, bei nipe laki 4 na nusu
E eddy88 Member Joined Jan 26, 2011 Posts 73 Reaction score 4 Jan 18, 2012 #7 compaq presario cq60, 2.1ghz amd procesor , 3gb ram, nvidia graphics, 500gb hardsk, laki 6, 0786305664
compaq presario cq60, 2.1ghz amd procesor , 3gb ram, nvidia graphics, 500gb hardsk, laki 6, 0786305664
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,297 Reaction score 20,868 Jan 18, 2012 #8 ipo hapa toshiba ram yake ndogo ila unatoa besa tunaongeza ram inafika 1gb na zaidi,usb webcam ipo hdd gb 120.bei tachukua hiyo besa kilo 4
ipo hapa toshiba ram yake ndogo ila unatoa besa tunaongeza ram inafika 1gb na zaidi,usb webcam ipo hdd gb 120.bei tachukua hiyo besa kilo 4
3squere JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 925 Reaction score 181 Jan 18, 2012 Thread starter #9 Nimeshapata kwa laki nne tena ya HDD 80 ram 2gb core 2.0 asanteni sana wakuu
snochet JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 1,486 Reaction score 1,272 Jan 18, 2012 #10 Wasikupige mkwara watu,jst pm me,bt u have to be serious na uwe karibu,mimi napatikana arusha,so if u r serious.just dare to pm me
Wasikupige mkwara watu,jst pm me,bt u have to be serious na uwe karibu,mimi napatikana arusha,so if u r serious.just dare to pm me