Habari zenu wakuu,,,, natafuta mafuta aina ya gatsby moving rubber hair wax, wapi ntapata mana nimezunguka sana hamna na wengine ata hawajui nini afu wananionesha Gel, naomba mnisaidie location ya mafuka makubwa yenye kuuza hiyo gatsby moving rubber, ni hair wax iyo,,, pia km kuna alternative yake pia si mbaya.