Kichwa cha habari hapo juu chahusika
Please do the needful
70 ipo?ninayo
Mkuu, hapo Tanzania huwezi kuipata hiyo charger unayotafuta. Lakini sis Pacificamarine tunaweza kukuagizia mpya toka Marekani kwa deal la US$ 60.00 na ikifika Dar tutakueleza ukachukue kwa agent wetu aliyeko Dar es Salaam.
Tuandikie kwenye: pacificamarine@yahoo.com nasi tutafurahi kufanya biashara na wewe.
Ndugu wananchi charger nimepata tayari, Jf mwisho wa matatizo.