Shamba kigamboni

mamabaraka

Member
Oct 18, 2011
92
14
natafuta shamba, ukubwa ekari 1, maeneo ya kigamboni liwe linafikika kwa gari, pia bei iwe ya kawaida kwa mtanzania mwenye mshahara kima cha chini, sio ya mafisadi. Yaani bei yake isizidi milioni moja kwa ekari, Mwenye nalo na ambaye anakubaliana na bei hyo naomba anipm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom