As a Partner Organization to International Labour Organization (ILO), Genesis Consult embarks on training potential and existing entrepreneurs for Generate Your Business Idea (GYBI) and Start Your...
wandugu habari zenu.
Natengeneza website za aina mbalimbali kwa ghrama nafuu sana huwezi kuamini.kwa ajili ya personal profile, biashara, shule za chekechea, primary na secondary, pia vyuo...
blackbery torch 9800 at&t memory 4gb red mpya na kila kitu 600,000....iphone 3g 8gb na full bei 480,000...samsung galaxy captivate used 16gb internal memory 450,000.nitafute 0713 51 05 78...
Wajameni!! Kwa mwenye kujua ama mwenye nalo na anauza, mimi nahitaji shamba maeneo ya mwongozo kigamboni, likianzia eka mbili na kuendelea itakuwa poa. Mwenye nalo tafadhali anijulishe ukubwa na...
kitope nauza maji safi kwa matumizi ya nyumbani, ujenzi na umwagiliaji n.k.
napatikana maeneo ya kigamboni
bei kwa ndoo ya 20lts. ni Tsh. 110
inapungua kwa wanunuzi wa matenki
kwa maelezo na...
Ipo maeneo ya town-magomeni mapipa. Njoo uiangalie ilivyo, tuzungumze na kukubaliana ili ifanyike biashara. Nyumba ipo katika eneo zuri la kibiashara, ni hatua chache tu toka barabara ya morogoro...
Heshima waheshimiwa!!,
Kuna mabingwa flani huwa wanauza maji kwa wananchi, huzunguka na Pick Up zao na matenki ya 1000lt. Nawahitaji
kama wamo humu ama unawajua naomba kontakt zao.
Ni vizuri kama...
KWA MNAO HITAJI KUNUNUA NYUMBA ZINAPATIKA UTARATIBU UNAZINGATIWA. PIA WANAOHITAJI VYUMBA AMA NYUMBA ZA KUPANGA VINAPATIKANA, MAENEO YA MAKUMBUSHO, KIJITONYAMA,TANDALE,MAGOMENI MWANANYAMA NA...
Natafuta nyumba yenye vyumba vitatu, atleast kimoja kiwe master, iwe katika hali nzuri, umeme na maji, iwe na nafasi ya kupaki magari mawili, na fence, iwe maeneo ya kinondoni, survey, au...
Habari wadau,
Nahitaji nyumba ya kupanga hapa Dar,iwe maeneo ya Sinza,K'nyama,Mikocheni,Mwenge,Survey,Kinondoni,Makumbusho,M/nyamala..kwa ufupi isiwe baada ya Nujoma road,ukitokea mjini Posta,bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.