Nyumba inauzwa magomeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa magomeni

Discussion in 'Matangazo madogo' started by chwechinyong, Jan 14, 2012.

 1. c

  chwechinyong JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ipo maeneo ya town-magomeni mapipa. Njoo uiangalie ilivyo, tuzungumze na kukubaliana ili ifanyike biashara. Nyumba ipo katika eneo zuri la kibiashara, ni hatua chache tu toka barabara ya morogoro. Kwa maulizo au mawasiliano zaidi, niandikie kupitia muky4us@gmail.com
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Magomeni kubwa hapo,maeneo ya Seaboyz au?
   
Loading...