Nyumba ya kupanga inahitajika haraka, Dsm!

Masakata

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
374
137
Habari wadau,
Nahitaji nyumba ya kupanga hapa Dar,iwe maeneo ya Sinza,K'nyama,Mikocheni,Mwenge,Survey,Kinondoni,Makumbusho,M/nyamala..kwa ufupi isiwe baada ya Nujoma road,ukitokea mjini Posta,bei 300,000-350,000,vyumba 2-3,gari iwe inafika,..Malipo miezi 6-8,..
kwa wenye nayo au anayeweza nisaidia, aniPM..

N.B
Dalali hatakiwi.
 
si rahisi kupata nyumba dar bila dalali.halafu kwa maeneo ulotaja kodi inaanza na mwaka.labda kwa we ni mwana jf kama kuna mwana jf anayo atakusaidia kama member mwenzake
 
iko nyumba kimara mwisho. vyumba vitatu, choo , jiko varanda, garage ya gari . sehemu ya msosi,bei nafuu kuliko unavyofikiria . AIHITAJI DALALI, ukiihitaji piga simu namba 0733345488
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom