Unahitaji proffessional website kwa bei ya kutupa??

ellyrehema

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
1,199
989
wandugu habari zenu.
Natengeneza website za aina mbalimbali kwa ghrama nafuu sana huwezi kuamini.kwa ajili ya personal profile, biashara, shule za chekechea, primary na secondary, pia vyuo mbalimbali. bei ya website ni kuanzia 50,000/= mpaka 1,000,000/= inategemeana na ukubwa wa website yenyewe. haijalishi sehemu yoyote ulipo africa mashariki kote mimi nitakuletea huduma yangu hapo hapo ulipo. na website zote ambazo gharama zake hazizidi 100,000/= malipo hufanyika baada ya kazi kuisha. website zote zilizobakia asilimia 25% ya malopo hulipwa kabla ya kuanza kazi na malipo yaliyobaki lazima yafanyike ndani ya wiki3 baada ya kazi kuisha. napatikana kwa namba 0713500665/ 0767002400/ 0782183441. KARIBUNI WOTE
 
Ndugu nakutafuta early next month, and hw abt hosting gharama zake inakuaje?
 
Back
Top Bottom