Natafuta nyumba ya kupanga Mororgoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyumba ya kupanga Mororgoro

Discussion in 'Matangazo madogo' started by 1800, Jan 9, 2012.

 1. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Deleted
   
 2. ManCity

  ManCity Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ipo nyumba Mazimbu..Ina rooms 3 (One Masters), Jiko, Seating, Dinning Room, ina fence, full tiles bei 300k kwa mwezi

  Gari linafika na ina geti zuri:

  Vp utahitaji???????????????? Check mi out
   
 3. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  asante mkuu,ila hiyo kubwa sana kwangu,nahitaji ya one bedroom au ikizidi two bedroom na sebule kikubw..
   
 4. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  kwa nini umechagua hayo maeneo? huoni kama itakuwa ghali saaana na hapo ukipata ya 150k nakupa zawadi aisee... Huko maisha yako juu katafute uswahilin kama sabasaba, mwembe kule au kaloleni...
  Kama uko tayari ni-PM.. ikishindikana nitakupa maelekezo ukapate self moja white with tiles sebule jiko na store lakini 160k pale modecco...
   
 5. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  chumba kimoja hiyo..
   
 6. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Asante kwa kunielewesha mkuu,me ni mgeni kwa mji huo wa Moro ndio nahamia,je kwa sehemu hizo ulizonitajia,na aina ya nyumba nayotaka naweza pata kwa ngapi mkuu?hachana na hayo maeneo uliyosema yako juu sana
   
 7. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  huko ni uswaz kamili na ukienda ukaulizia tuu unapata.bei chee kila room 40 mpaka 25 lakin utata kwenye choo.utata kamili.lazma ushee. uzuri wa moro ukiwa na hela yako kwa mwezi lets say over 800 kachukue hata ya 150uishi vizuri kuliko mwembe au sabasaba ambako roho juu.kwa mfano sabasaba room ni shng 20 tuu lakin usalama nao utata. Pamoja. kaza roho maana ya hela hata kama ni 600 wee tafuta pa kuishi lipa 150 mwaka au miezi sita uishi ndani ya fensi ufurahie. usiniPM tena maana nishasepa morogoro
   
Loading...