22 inch Low profile Range Rover Rims zinauzwa

22 inch Low profile Range Rover Rims zinauzwa

Ortega

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
844
Reaction score
209
swwrG.jpg


Ziko set nzima kutoka UK,
Price: Tsh 6 Million
Contact Eric @ 0712 787939
 
mkuu

kwenye hiyo bei kuna reality ... 6m?

labda mimi nina sintofahamu

wish you luck
 
Mmh! mkuu hiyo bei nadhani mteja hata kwa mazungumzo hato kaa
 
6m? Mbn rim zenyewe ni za kawaida sna tu?
 
aaah hiyo bei,. Napata gari yaukweli kabisa... Sasa c ni bora ninunue gari kuliko hio mitairi...
 
Du mkuu huu wizi wa mchana huu,rim mil6? Ni alloy rim Tanzanite + Gold? Nikienda Lumumba napata Rim za ukweli 22" + Nu tyre kwa 1.2m za Ukweli mara 100 ya hizo
 
Kama za Boda boda vile, halafu hiyo bei mmh.....!! Anyway hatahivyo, hazifai kwa ile Starlet yangu ya mwaka 1993 ambayo nilimwachia mdogo wangu hapo bongo, ningekutumia T/T.
 
Back
Top Bottom