Natafuta nyumba ya kupanga DSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyumba ya kupanga DSM

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Beby, Jan 12, 2012.

 1. B

  Beby Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta nyumba yenye vyumba vitatu, atleast kimoja kiwe master, iwe katika hali nzuri, umeme na maji, iwe na nafasi ya kupaki magari mawili, na fence, iwe maeneo ya kinondoni, survey, au kijitonyama, sihitaji dalali,
  budget 350,000 ..
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  maeneo unayoyataka bila dalali uwezekano wa kupata ni mdogo. Wenye nyumba wengi maeneo hayo hata ukienda atakuelekeza kwa dalali kwanza maana unakuta madalali ni wadogo zao, wapwa, mashemeji etc...so lazima wakusukumie kwao ili nao wakuchomoe.....it is a sad fact!!!
   
 3. B

  Beby Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa madalali wanasumbuaga sana, i really wsh nipate sehem bila dalali, ila ngoja nijionee
   
 4. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Kama unataka mtoni kijich, dalali 0714883861
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  sijui watu mna masikio gani na macho gaani si umesoma hapo hataki dalali we unatoa tena namba ya dalali.
   
Loading...