Duu una bahati sana mkuu,nina shamba hekari moja na nusu mwongozo kibaoni unaingia ndani kama km 3 kutoka barabarani linapakana na ukanda wa bahari lina mikoko kwa upande wa chini ni eneo zuri kama ukijenga hotel ya kitalii au ghorofa,starting price ni mil 30 kama unazo ni PM
Ununuzi wa Maeneo ya kando ya bahari yanahitaji umakini sana maana utapeli ndo umejaa huko. Sehemu moja yaweza kuuzwa hata mara tatu.
Fafanua zaidi kidogo ili nipate picha maridadiHivi kuna watu bado wanauziwa kiwanja mara tatu? Mmmhhh hiki mimi ndo mwenyewe na sijakiuza kwa mtu yeyote,sio hicho tu nina vingine vya kupimwa kibada na toangoma so sibahatishi katika hiyo issue,kama jamaa ana hela ya kutosha anivue ilo la mwongozo heka moja na nusu,gari inafika hadi kwenye kiwanja.
Hayo maji marefu siyawezi mkuu, napita tuuDuu una bahati sana mkuu,nina shamba hekari moja na nusu mwongozo kibaoni unaingia ndani kama km 3 kutoka barabarani linapakana na ukanda wa bahari lina mikoko kwa upande wa chini ni eneo zuri kama ukijenga hotel ya kitalii au ghorofa,starting price ni mil 30 kama unazo ni PM