Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

1.NAUZA NEC PROJECTOR MODEL V 260 MADE 2015 IMPORTED FROM UK REFURBUSHED LENZ HOURS 3000 PICHA 30 INCH HADI 150 HD INA VGA,SVIDEO ,VIDEO , AUX BEI NI TSH 300,000 LOCATION ROCK CITY 2 EPSON...
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi. Best Price for Suck of Sunflower meal or Seeds. Mashudu ya mafuta ya alizeti ni chakula cha...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari Wana JF. Wakuu nimeleta mashine za kilo 7 za kufulia, aina ni Dnyker, high quality brand kutoka China ikifanya mauzo vizuri sana bara la Ulaya (Europe) Zina uwezo wa kufua, kusuuza na...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari nauza viatu sio virefu sana wala vifupi sana, vimevalika mara moja tu, vinapatikana Dar-es-salaam. Bei ni 20,000/ size ni 37 kubwa hata 38 anavaa. Karibuni
0 Reactions
2 Replies
592 Views
Habari! Nauza laptop kwa bei poa. Hp Elitebook (used kwa miezi 6) Ram 8gb Hard disc 500gb Processor core i5 ,cpu 2.6ghz Bei 500 ,000/=(kuna maelewano pia) contact 0752 666 539 Mwanza
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ninahitaji kiwanja maeneo ya Tegeta, Madale. Ukubwa: sqm 450-500. Budget: 15m. Nitafurahi sana kama ntapata kutoka kwa mmiliki mwenyewe na kisiwe na migogoro. Mwenye nacho naomba ani PM
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini Wana JamiiForums, Natafuta battery ya Laptop tajwa hapo juu, nikipata Mpya au used yenye ubora pia ni sawa tu. Aliyekuwa nayo tuwasiliane hapa chap tufanye biashara. Picha ya laptop na...
0 Reactions
3 Replies
611 Views
Nauza friji ndogo single door hisense fridge ni mpya kabisa sijaitumia hata siku 1, bei 200,000 fridge ipo tabora nzega, mwenye uhitaji anicheki.
1 Reactions
0 Replies
612 Views
Nauza machine ya katungeneza kahawa , capuccino etc. Inaweza kutumika ofisini , nyumbani, au hata kwenye biashara kuuzia chai na kahawa. Machine iko automatic na inaweza kukupa hesabu ya vikombe...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama uko Tabora na unauza tv inch 32 niambie nataka ilio tumika nataka kwa leo au kesho nitajie bei na aina ya tv na sehemu ulipo na pia kama una picha itapendeza.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtambo mdogo wa kuua Mbu pamoja na Dawa zake ⚕ Hakuna moshi, hakuna harufu mbaya ⚡️ "Kwa Tsh 11,000 utapata -Mashine -Dawa Box 1 -Free Delivery 🚚 Price 11000 Tsh ☎️ WhatsApp...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wale ambao Computer Laptop au Computer Desktop zao ni nzito mpaka unahisi kero usijali. Mzigo huu hapa SSD SATA III GB 512 kwa Tsh 80,000/= tu unafurahia maisha kwa Computer yako kuwa chap...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mali bado mpyaa zina mabox yake na documents zake hakuna ujanja janja, sababu za kuuza ni matatizo yanayohitaji hela ya haraka Home theater Og ya LG WATS 1000 Ina spika 4 na mja ndogo mziki...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kazi nzuri za Aluminium tuwasiliane maboss zangu support yko muhimu Sana kwetu. Tuko Mbezi Makabe, wale wa mikoani tunafika pia pia Bei zetu ni nafuu. Kwa mawasiliano zaidi, tuwasiliane kwa...
0 Reactions
0 Replies
460 Views
Kama unahitaji kufanyiwa full house wiring, motor rewinding, solar panel installation, na huduma zote za umeme. Wacheki [emoji117][emoji117] Azizi Umeme wanapatikana Ubungo external, uzuri hawa...
0 Reactions
3 Replies
514 Views
Habari, Natafuta CPU ya computer desktop nina sh 50000 nipo Dar hata kama ni zile model za zamani ilimradi iwe inafanya kazi. Ni PM specification
1 Reactions
3 Replies
647 Views
MOLAS Autohub ni duka la rejareja la ndani ambalo huhudumia jamii ya karibu kuhusu vipuri na pia kutoa huduma za kuagiza mtandaoni. Tuna utaalam wa kuuza Sehemu za Magari za Uropa kuanzia Mwili...
1 Reactions
1 Replies
734 Views
Habari wana jamii napenda kuwatangazia pia ,japo wengi mnanijuwa kwa kuuza dagaa, pia nimewaongezea kuwauzia vumbi la dagaa kama chakula cha mifugo. NAPATIKANA MWANZA-KIRUMBA-MWALONI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom