Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama walivyoahidi, Remitano wamezindua sarafu yao ya Renec. Sarafu ambayo ilikuwa ikipatikana bure kwa kufanya mining kupitia simu ya mkononi sasa ipo sokoni kupitia exchange yao. Renec iliingia...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Toyota Brevis Used Inauzwa Mkoani Mwanza. Inatembea vizuri haina kipengele Bei 2,500,000. Mazungumzo ya Simu ndiyo mwafaka SOLD☑️
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Kifaa hiki kimasaidia; -Kupunguza maumivu ya viuongo -Hufanya massage mwilini hivyo kuimarisha mzunguko wa damu -Kwa wanariadha na wafanya mazoezi kinaondoa uchovu -Kinasaidia kwa watu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu humu jukwaani, naombeni machimbo wapi ntapata dollar. Nimezunguka sana kwenye benki lakini nimekwama, hakuna kabisa. Sehemu gani naweza kupata dola ndugu zangu? Nahitaji...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa, Kwa mwenye kujua soko la kuku wa nyama mkoani Mwanza anipe connection mimi napatikana Usagara. Nina broilers 358 wanakaribia kuingia sokoni Bado week Moja tu. Natanguliza...
2 Reactions
5 Replies
945 Views
Habari wadau, Tunatoa huduma za ufundi umeme na solar, . wirring aina zote . maintenance ya wirring zote . security system (CCTV) .water pump . Street light N.k Tunapatikana Iringa Mjini Call...
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Welcome all around worldwide for learning this Beautiful Language
0 Reactions
2 Replies
411 Views
Habari njema kwa watanzania wote. Sasa tumaweletea kifaa kipya na cha kisasa kiitwacho MiFi kutoka Marekani, ambacho kinatumia line za mitandao ya simu za mikononi na kurusha internet kwa njia ya...
1 Reactions
51 Replies
13K Views
Nina Tsh. Milioni 30 cash mkononi mwangu, kujenga ndo kipaombele changu, hata biashara pia. Mwenye nyumba nzuri ya milioni 20 (Arusha) anitafute. Milioni 10 nataka nifanye biashara nipate hela ya...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Viwanja vinauzwa Makongo Mwisho (Jirani na Kanisa Katoliki) Sqmt 1 kwa Shilingi 70,000 Viko Km 1 kutoka lami ya Makongo inayoelekea Goba. Bodaboda 1,000 mpaka site. 0712787939
0 Reactions
7 Replies
683 Views
Offer Cherehani ya Umeme Name Ufesa Made in Spain Model Maquina De Coser Modeli hii kwa Kifaransa tunaita Acquina de Costurar Sws 3003 Performance 1.Inashano 2.Inadarizi 3.Inapiga zigizaga...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa mwenye kujua soko la kuku wa nyama mkoani Mwanza anipe connection tafadhali. Mimi napatikana Usagara Nina broilers 358 Bado week Moja wawe tayari sokoni kwaajil kuuzwa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii gari soon itafika tanzania iko majini with very few kms ikifika naitoa chap kwa 32m. Wasiliana nami kwa 0767507487 au 0736507487
0 Reactions
1 Replies
824 Views
MASHINE NDOGO YA KUSAGA NA KUKOBOA (2 in 1) mahindi, mpunga, viungo vikavu nk Mashine MPYA Bei 1,500,000/= Mashine ipo DAR ●Mashine ina pande mbili, upande mmoja ni wa kusaga na upande wa pili...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
NAUZA DUKA LENYE VIFAA VYA WATOTO DUKA LINA KILA AINA YA VIFAA VYA WATOTO NALIUZA (diapers, mafuta, toys, nguo, baby walkers, mabeseni, vitanda, midoli, chupa, n.k) LOTE KAMA LILIVYO DUKA LIPO...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini Wakuu Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji msaada wa Mwalimu wa tuition MWENYE UZOEFU kwa Mwanafunzi wa kike wa darasa la 4. Awe anaweza kufika Mbweni Malindi/JKT, Dar es Salaam...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nikiamkabidhi mteja trekta aina ya Lovol Hp 75 4WD aliyoinunua kupitia mkopo wa zana za kilimo NMB MBULU Manyara, Mteja huyu kapata trekta yake ndani ya wiki mbili tangu aanze taratibu za kuomba...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza printer in a miezi 2 tu bado mpya kabsa ndo nimeinunua juzi tu nilikuwa naitumia matumizi binafsi sio biashara. Nimepatwa na shida sasa naiuza kwa bei nafuu kabisa 390 mwsho. location...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidogo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom