Mwenye soko la Pumba anitafute

Nimepata sehemu Pumba za mchele na mahindi zinazalishwa sana. Japo zinauzwa lkn bei ipo chini ukilinganisha na sehemu zingine. Kwa yeyote anaeyajua masoko ya kitu hii iwe hata nje ya nchi anitafute
Wap huko mkuu tupeane connection
 
Back
Top Bottom