kuna rafiki yangu mmoja anatafuta chumba kikubwa na kizuri cha kupanga maeneo ya Ngarenaro, Kaloleni, ILBORU na maeneo ambayo yapo mjini. Chumba hicho kiwe self contained. Kwa yeyote mwenye...
Nyumba inapangishwa kwenye shared compound. Ipo ndani ya fensi. Ni nyumba yenye vyumba viwili vya kulala na kimoja ni master. Ina sitting room pamoja na jiko. Kuna sehemu ya kupaki gari. Ipo mbezi...
Habari za leo wanajamii. Natafuta nyumba ya kupanga mwezi mmoja wakati namalizia mjengo wangu. nyumba iwe ya vyumba viwili au vitatu. Mimi niko Dar es salaam.
Kiwanja kina hati kimepimwa, eneo zuri, nyumba imezungushiwa fensi ya matofari, ina master b/room, vyumba 3 vya kulala, s/room, d/room, Jiko, mabanda ya uwani, Gereji, na maegesho ya gari. Maji ya...
Ndugu wanajamii forums, najitolea kufanya kazi ya website designing... yeyote mwenye kazi ya kudesign website anaweza kunicheki kwa PM kisha nikasaidiana nae kufanya hiyo kazi bila malipo...
WE OFFER FINANCIAL AND BUSINESS SERVICES WHEREVER YOU , OUR PERSONELL WILL VISIT YOU.
eg preparation of busness plan/propasal, internal auditing, preparation of financial report, practical...
Natafuta ile mashine kubwa ya kuchomea kuku kwa kuzunguka, kama ile ya bonge wa pale kona Bar.
Nimejaribu kuulizia sehemu nyingi bila mafanikio. Mwenye kujua tafadhali anijuze.
Salamu kwenu wanajf,
Natafuta benki inayoweza kunikopesha mkopo, mimi ni mwajiriwa, mshahara wangu ni kati ya 1.5 m to 2m hiyo ni net. Gross ni kati ya 2m na 2.5m. Nimekuwa na akauti benki toka...
Zipo ndani ya fensi moja, nyumba moja ni kubwa na nyingine ni ndogo. Kuna eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba nyingine. Ipo tabata mawenzi karibu na shule ya sekondari ya kamene. Bei ni milioni...
nauza mitsubishi, canter ya mwaka 1998; registration na. T 616 BTD; rangi ya blue, body ya aluminium kwa chini, juu imewekwa bomba na ina turubai. Ilinunuliwa U.K june 2011; ina km 90,000 mpaka...
Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma...
habari wana jf kuna kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa nusu ekari kipo eneo la Igoma jijini Mwanza bei maelewano kwa ambaye atakuwa tayari awasiliane na mimi kupitia hizi namba:0764339400.changamkia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.