Mkopo wa haraka

Mkopo wa haraka

Mrekebishaji

Senior Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
168
Reaction score
63
Salamu kwenu wanajf,
Natafuta benki inayoweza kunikopesha mkopo, mimi ni mwajiriwa, mshahara wangu ni kati ya 1.5 m to 2m hiyo ni net. Gross ni kati ya 2m na 2.5m. Nimekuwa na akauti benki toka October, 2011. Kwa hiyo nina benki statement ya miezi minne tu. Nimeshamaliza probation period na kuwa approved. Nahitaji mkopo wa haraka. Naomba mwenye taarifa ya benki ipi itanisaidia.

Natanguliza shukrani.
 
stanbic wanatoa bila lingolongo ila uwe na account nao atleast mwezi mmoja mshahara upite knye account na hiyo bank statiment yako the next day unapata chako
 
Back
Top Bottom