Msaada: Mashine ya kuchomea kuku

Ortega

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
844
209
Natafuta ile mashine kubwa ya kuchomea kuku kwa kuzunguka, kama ile ya bonge wa pale kona Bar.
Nimejaribu kuulizia sehemu nyingi bila mafanikio. Mwenye kujua tafadhali anijuze.
 
Pale Ilala karibu na cristal palace hotel ,opposite kuna jamaa wanaziunda.Pia pale karibu na Hertz car rental ,near Tansoma Hotel na pale karibu na wizara ya sayansi kuna maduka ya vifaa vya mahotel nimewai ziona pita mitaa hiyo ukacheki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom