hbi
JF-Expert Member
- Feb 6, 2011
- 678
- 298
Ndugu wanajamii forums, najitolea kufanya kazi ya website designing... yeyote mwenye kazi ya kudesign website anaweza kunicheki kwa PM kisha nikasaidiana nae kufanya hiyo kazi bila malipo yoyote... Pia hata kama una web application yoyote ambayo unafanya unaweza ukawasiliana nami nikakusaidia kufanya... Ni hayo tu kwa leo