Nyumba mbili na kiwanja zinauzwa kwa pamoja. Bei sawa na bure. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba mbili na kiwanja zinauzwa kwa pamoja. Bei sawa na bure.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Husninyo, Jan 11, 2012.

 1. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Zipo ndani ya fensi moja, nyumba moja ni kubwa na nyingine ni ndogo. Kuna eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba nyingine. Ipo tabata mawenzi karibu na shule ya sekondari ya kamene. Bei ni milioni mia mbili hamsini tu. Kwa maelezo zaidi nipm. Madalali hawaitajiki. Ahsnte.
  UPDATE;
  Bei imeshushwa hadi 150million
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  250mil ndio sawa na bure??? Ninyo bana
   
 3. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Weka Picha, mawasiliano, kwa mwenye nia ya kuja kuiona.
  ''Vipi Mafuriko hayafiki hapo''
   
 4. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mkuu unashangaa hio Bei Tabata Mawenzi??!!, Je ukienda Masaki au Mbezi Beach si ndo utazimia kabisa!!!!
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  hahahaha! Nilifikiri na wewe mzee wa vijisenti. Utapunguziwa kidogo kama upo tayari.
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  nivumilie kidogo nifanye mipango ya picha.
   
 7. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Husninyo Ngabu, vp mmepona mafuriko?
   
 8. k

  kipira Senior Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Teh! teh! Tabata!
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  hebu acha kupayuka.
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  shark bei imepunguzwa hadi milioni 150. Karibu.
   
 11. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Hii bei ilikosewa ama imeshushwa kwa maana ya punguza (discount)?!!! Kama ni discount basi kuna tatizo kubwa na hiyo property.
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 13. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Eti milioni 250 tu kweli kuna watu wanapesa....................nyumba tu bei hii halafu punguzo milioni 100
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha! Kwa akili za wabongo wanawezakuwa wana advartise nyumba kama hii
   
 15. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Milioni 150 unaita "karibu na bure"??
   
 16. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Hilo Bonge la discount Husninyo, kutoka 250 mpaka 150, punguzo la mia nzima!!!!!...uliweka maji ya kufa mtu mkuu, hihihii
   
 17. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  POPOOOOO! kaipenda hii.
   
 18. Fighter

  Fighter JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Sema size na content ya nyumba hizo!! au upload pics tuingie biashara
   
 19. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Weka picha nijue kama nahitaji kwenda bank ssaiv
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  kweli kuna tatizo ila si la nyumba, ni shida ya pesa.
   
Loading...