Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Join this link http://signup.wazzub.info/?lrRef=4a3a3
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Kuna Eneo la ukubwa wa robo eka linauzwa Majohe Rada karibu na chuo cha ualimu cha Westland College Sh 12,000,000/ kiko Barabarani na nguzo za umeme ziko karibu linafaa kwa Biashara na Makazi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kama unaitaji Iphone 4, Galaxy ninazo I4 laki nane Kwa wana hitaji fundi wa simu wakamuone fundi MWESIGA PALE AGREY, AMEAMA KUTOKA POSTA
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Classical guitar jipya kwa sh 80000,nichek kwa namba 0655674747
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania-Africa ipo nyuma katika mambo mengi,kiuchumi kijamii na kisiasa. Sisi vijana wa kitanzania tukiongozwa na Dada Jescar Gerald na kaka Edwin Mrema wameanzisha mtandao wa kijamii View Tz...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji Toyota funcargo au toyota corola Ae 111, ya bei ndogo. Inayotumika na mswahili mwenzangu, bei isizidi Tsh 4000000/- mwenye nayo ani pm, pia aonyeshe picha yake.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye ufaham ani PM tafadhali fedha ipo tatizo kioo
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Ninauza vifaa vya mziki ambavyo ni,speaker bass zipo mbili.Speaker mid zipo mbili,closs over moja.Generator inayoweza kusukuma mziki ipo moja.Deck za audio cd zipo mbilli. Kwa anaehitaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani nina Ka GDI kangu ka 1998 milango mitano natafuta shock absorber( shokapu) za Mbele
0 Reactions
1 Replies
3K Views
used bt works perfect, 200,000/- !! pm fo numbr if u wana buy... no discount
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina htc magic adroid mwenye uhitaji, ipo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba ushauri,nataka kuweka tangazo na picha kwenye Jf. Nimeona ndovu wameweka lao na mimi ningependa niweke jirani na Ndovu. maana ukisha pata moja ya baridi unakuwa na hamu ya kiti moto. Je...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
htc g1 going for 200,000/- ... used bt in mint condition # ts urgent, no discount as well.. pm me if interested
0 Reactions
2 Replies
988 Views
kama kuna mwenye bberry bold ambayo iko kwenye hali nzuri na price not more than 200000 naomba ani pm
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Am looking for Blackberry 9000 or iPhone 3g Or any other phone with OS (operating system) My budget- 150,000/-Tshs IF any major au minor problem, will buy maybe but plz mention !
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nauza mashamba kigamboni eneo la mkokozi/lugwadu napima kuazia nusu eka 5mil. Halina hati miliki zaidi ya barua ya serikali ya kijiji na risiti. Lipo km 20 kutoka ferry, umeme haujafika , barabara...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nahitaji HP Pavilion dv7 6089eo. Ina specifications zifuatazo: HDD: 500GB RAM: 4GB Processor: Quadri Core... Size: 17.3" HD screen. Pia ina fingerprint reader. Alternativelly, Toshiba yenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninatoa huduma ya kurudisha data (data recovery) kwa hakika, haijarishi ni siku ngapi zimepita na wala kwamba kuna waliotangulia walijaribu wakashindwa. Software zangu niza viwango katika ubora...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Blackberry Torch 9860 mpya kabisa inauzwa... Bei 650,000/= Nicheki kwa 0655003510
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom