Nyumba inauzwa Sinza Kijitonyama barabara ya Shekilango eneo la Mapambano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa Sinza Kijitonyama barabara ya Shekilango eneo la Mapambano

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ishaka, Jan 26, 2012.

 1. Ishaka

  Ishaka Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kiwanja kina hati kimepimwa, eneo zuri, nyumba imezungushiwa fensi ya matofari, ina master b/room, vyumba 3 vya kulala, s/room, d/room, Jiko, mabanda ya uwani, Gereji, na maegesho ya gari. Maji ya bomba yapo na umeme. Ipo jirani na Flats za b.o.t. Bei sh.198Mil. (negotiable)
   
Loading...