New Laptop MacBook Pro 17 inch inauzwa

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Precision aluminum. The new gold standard.
Carved from a single block of aluminum, the MacBook Pro is a true engineering achievement. Its unibody enclosure is the product of precise machining.

features_mbp_graphics20090608.jpg

features_trackpad20090608.jpg

Macbook Pro 17 inch
512 GB hard disk
4GB RAM
intel core2 duo 2.8 GHz cpu
2009
up to 8 hour battery life

Nauza hii laptop sh 2.6 milion za kitanzania ni mpya.

apple-macbook-pro-17-inch.jpg

apple-macbook-pro-17-inch.jpg

Mawasiliano piga simu no 0713943995
 
Last edited:
2.6 m unashangaa unaijua hiyo Laptop?
hakuna laptop kwakipindi hiki yenye uwezo kama hii. ndo laptop ambayo ipo kwenye juu ya laptop zotee.
 
Umetia chumvi mno mkuu!

............kwi kwi kwi.........hapana mkuu inategemea unataka kuitumia kwa matumizi gani Mkuu....... lakini kwa brand ya Mac hiyo mashine na hizo specs zake iko juu mazee..........na ninafikiri bei pia aliyoitoa ni reasonable.......

Wee Mkuu Lazy najua ni mkali wa haya mambo je we ni mtu wa ASUS nini?
 
............kwi kwi kwi.........hapana mkuu inategemea unataka kuitumia kw amatumizi gani Mkuu.......lakini kwa brand ya Mac....hiyo mashine na hizo specs zake iko juu mazee..........na ninafikiri bei pia aliyoitoa ni reasonable.......

Wee Mkuu Lazy najua ni mkali wa haya mambo je we ni mtu wa ASUS nini?

Bora umesema wewe mzee, Hiki kinu kinamfaa Lazy .
Bei ni ndogo ukipita madukani hapa dar ni 3,700$ cash bila chenga.
 
............kwi kwi kwi.........hapana mkuu inategemea unataka kuitumia kwa matumizi gani Mkuu....... lakini kwa brand ya Mac hiyo mashine na hizo specs zake iko juu mazee..........na ninafikiri bei pia aliyoitoa ni reasonable.......

Wee Mkuu Lazy najua ni mkali wa haya mambo je we ni mtu wa ASUS nini?

Mimi sio mfuatiliaji wa Specs za computer/laptop; hii hapa chini nilikutana nayo kwa bahati tu nikiwa naperuzi website moja. Ukiacha Sony nadhani zipo laptop za bei ya juu zaidi.

Hii haina Bluray wala SSD (Solid State Drive), components ambazo nasikia bei yake iko juu.
VAIO TT Series VGN-TT280N/B Notebook Computer
Price: Tsh. 2,730,000 (Ukiinunua bongo, bei itakuwa zaidi)

VAIO TT Series VGB-TT298Y/B Notebook Computer
Price: $4,200 sawa na Tsh. 5,460,000 (Ukiinunua USA)
 
2.6 m unashangaa unaijua hiyo Laptop?
hakuna laptop kwakipindi hiki yenye uwezo kama hii. ndo laptop ambayo ipo kwenye juu ya laptop zotee.

Umetia chumvi mno mkuu!
Naomba nikiri kosa, comment yangu niliitoa kwa kudhani ThinkPad anazungumzia bei; kwani yeye anazungumzia uwezo wa mashine.

We hope to hear more from you ThinkPad kuhusu uwezo wa hicho kifaa. Graphic designers mate yanawatoka wakiona hiyo picha ;)

Unafanya vyema kuuza vitu vipya. Kuna watu wanakusanya used computer USA wanasafirisha kuleta bongo wakati (USA) kuna vifaa vipya kwa bei poa sana; wangenunua badala yake.
Ni ufahamu mdogo tu wa wauzaji pamoja na watumiaji, kwani bongo mahitaji ya computer for heavy professionals yapo.Utakuta mtu analalamika computer ni slow (kwa kazi zake) japo ni mpya, asijue kwamba anatumia computer isiyo na uwezo wa kutosha.
 
............kwi kwi kwi.........hapana mkuu inategemea unataka kuitumia kwa matumizi gani Mkuu....... lakini kwa brand ya Mac hiyo mashine na hizo specs zake iko juu mazee..........na ninafikiri bei pia aliyoitoa ni reasonable.......

Wee Mkuu Lazy najua ni mkali wa haya mambo je we ni mtu wa ASUS nini?

Wakuu wakni ASUS zina ishu gani?
 
Naomba nikiri kosa, comment yangu niliitoa kwa kudhani ThinkPad anazungumzia bei; kwani yeye anazungumzia uwezo wa mashine.

We hope to hear more from you ThinkPad kuhusu uwezo wa hicho kifaa. Graphic designers mate yanawatoka wakiona hiyo picha ;)

Unafanya vyema kuuza vitu vipya. Kuna watu wanakusanya used computer USA wanasafirisha kuleta bongo wakati (USA) kuna vifaa vipya kwa bei poa sana; wangenunua badala yake.
Ni ufahamu mdogo tu wa wauzaji pamoja na watumiaji, kwani bongo mahitaji ya computer for heavy professionals yapo.Utakuta mtu analalamika computer ni slow (kwa kazi zake) japo ni mpya, asijue kwamba anatumia computer isiyo na uwezo wa kutosha.

Ulikuwa sahihi kabisa lazy cpu speed ni 2.8 ghz bei ni 2.6 milion.
 
Wakuu wakni ASUS zina ishu gani?

Ktk isue za multimedia(continous n disecrete) Mac inamudu mzigo wake kwa kiwango kikubwa.
Asas ni OS sijui inauwezo kiasigani hukizingatia os ni mojawapo ya kigezo kinachotegemewa na multimedi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom