Tone Radio Tz Online Radio ya Tanzania ambayo haitumii Frequency sasa ipo On Air Live | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tone Radio Tz Online Radio ya Tanzania ambayo haitumii Frequency sasa ipo On Air Live

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Toneradio, Jan 27, 2012.

 1. T

  Toneradio Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunapenda kuwapa taarifa wadau wote na wapenzi wa Tone Radio Tz.. Baada ya kukamilisha Tovuti yetu sasa Tumeanza matangazo Rasmi ya majaribio ambayo yatakuwa yanawajia kila siku mpaka hapo tutakapo watangazia Rasmi tumeanza vipindi, Lakini hata Hivyo kwa sasa vipindi vimeanza na watangazaji makini kabisa Taarifa zaidi ya vipindi mtapata kwa tovuti yetu.. Karibuni sana pia ukipata habari hii mpe taarifa na mwengine

  KUSIKILIZA LIVE BOFYA HAPA CHINI

  WWW.TONERADIOTZ.COM TONE RADIO-TZ


  Tone Shows
  View attachment 46170
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Asante kwa Taarifa mkuu!! Tupo pamoja
   
 3. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mimi nasikiliza kitambo hii, ni balaa!
   
 4. SUPERUSER

  SUPERUSER JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  keep up with the good work guys..amazing!
   
Loading...