Eneo linauzwa

Ados

Senior Member
Feb 26, 2011
117
20
Kuna Eneo la ukubwa wa robo eka linauzwa Majohe Rada karibu na chuo cha ualimu cha Westland College Sh 12,000,000/ kiko Barabarani na nguzo za umeme ziko karibu linafaa kwa Biashara na Makazi, mazungumzo yapo , piga 0767236210
 
kwa kweli vitu vimepanda bei
kutaja milioni kumi ni kama utani tu,
haya bana ngoja nikae pembeni waje wenye vijisenti vyao.
 
Ni meter 35 urefu na 35 upana!

35m kwa 35m ni makadirio tuliyozoea tu. Eka (acre) moja ni sawa na mita za mraba 4046.9 hivyo robo eka ni sawa na mita za mraba 4046.9/4 ni kama mita za mraba 1011.7 au mita 32 kwa mita 31.7.

Nyongeza:
Ninauza kiwanja chenye upana mita 24 urefu mita 30, kipo Kivule (Kitunda) - Ukonga. Bei Tzs 6.5m. Kipo vizuri tayari kwa kujengwa, tambarare, kinapakana na barabara kubwa ya mtaa, etc.
Kwa maelezo zaidi ni PM
Karibu
 
hapo hapo kama wataka nusu eka nauza 5m kigamboni kwa pinda waziri mkuu. Eneo halifikiwi na mradi nina shamba kubwa nipm upate makazi na eneo la mifugo na bustani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom