Nokia 9300

Nokia 9300

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,578
Reaction score
1,817
Ipo ni poa,portable.
Nimejaribu ku upload image yake but natumia phone,so nafikir haikubali but unweza searc mwenyewe kama vp call me faster 0715812160
 
hiyo simu imefanyaje sasa??? Nyoosha maelezo bingwa
 
Mimi yangu nimeuza 50,000tuu! Kimeo hicho ntamfikiria mwenye e90 cz zimefanana bt e90 mashine ya ukweli! Kama 9300-50,000 kama 9300i-70,000! Cz thy are also used
 
Ipo E-90 mpya kabisa bt ni simu na charger yake tu. Mwenye kuhitaji ani pm.
 
Mimi yangu nimeuza 50,000tuu! Kimeo hicho ntamfikiria mwenye e90 cz zimefanana bt e90 mashine ya ukweli! Kama 9300-50,000 kama 9300i-70,000! Cz thy are also used

yako ndio kimeo,yangu nafahamu nilivyo itunza na uwezo wake,na zimetofautiana kwani kuna yingine za buttons zimeandwika kifaransa nyingine kiingereza..
 
Wote nyie wezi tuuu... Simu za kuwachomolea watu mifukoni.. Toeni utapeli wenu hapa. Maduka yapo tutaenda, mmenipotezea muda wangu kusoma hili lithread lenu.. Alaaah.

Toeni njaa hapa.
 
kwa matatizo ya simu kamuone Fundi Mwesiga pale kariakoo mtaa wa Aggrey ni Mtaalamu sana
 
Wote nyie wezi tuuu... Simu za kuwachomolea watu mifukoni.. Toeni utapeli wenu hapa. Maduka yapo tutaenda, mmenipotezea muda wangu kusoma hili lithread lenu.. Alaaah.

Toeni njaa hapa.

Kazi..
We kweli MBUMBUMBU kama id yako ilivyo,hakika hata ungesema una milion 10,nisinge kutafuta.!
 
Back
Top Bottom