Easter offer Mobile phones and ipad

Easter offer Mobile phones and ipad

Livanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2010
Posts
475
Reaction score
156
Hello great thinkers natoa offer kabambe kwa msimu huu wa pasaka
katika product nilizoingiza kwa uchache ni Blackberry 9780, 9900, 9800 iphone 4, Samsung galaxy SII, Samsung galaxy Gio and Nokia c6 na N9 and ipad2. wahi sasa kwani zimebaki chache kwa maelezo zaidi piga 0714500004

Naomba bei hizo nokia c6/n9 na galaxy SII na gio
 
Zime tumika mkuu? Weka bei watu wapapase mifukoni maana una weza ukasumbuka kuuliza.
 
kama utaki kuweka bei ondoa mada unajaza tu space kila m2 akupigie then hli iweje
 
Huyu nadhani anapenda kutujulisha vitu alivyo navyo, sijaona biashara bila bei.
 
Weka bei ili kabla hatujakutafuta tuwe tunajua mfukoni tuna kiasi gani na wewe unataka kiasi gani,
 
Sorry was busy with other issues. Zimebaki Nokia c6 laki 4, Samsung galaxy Gio laki 4, Iphone 4 laki 8 na blackberry 9780 laki 4 na 80
 
Zimebaki iphone 4 laki 8, blackberry 9780 laki 4 na 80, Nokia c6 laki 4, Samsung Galaxy Gio laki 4

Back
Top Bottom