Habari wana JF NATAFUTA PLAYSTATION 3.. Nipo dar mbenzi ya kimara mwenye nalo na anahitaji kuuza labda naomba anibp kwenye namba pale chini ... Au kama unajua duka zuli ambalo naweza kupata kwa...
Website ni nini?
Kwa lugha nyepesi website ni habari za mtu au kikundi cha watu ambazo ziko kwenye internet, habari izi zinaweza zikawa za aina yoyote ile kama maandishi, picha,sauti n.k
Habari...
lipo lugwagu km 7 kutoka barabara ya lami iendayo kongowe kituo cha mwembe mtengu. Unaweza kupitia ferry ambo ni km 20 kutoka kivukoni hadi kwenye junction ya kuingia shambani na km 4 kutoka...
Big house, 1 big master bedroom, 3 bedrooms, dinning, kitchen, store, nyumba ipo lenta, ina eneo kubwa 112M x 56M. Ukonga sitaki shari
35million ASAP,
Call. Capt. Halili 0715346208, 0784346208...
Wakuu nilikua naulizia kuhusu durability ya hizi gari ndogo za mizigo SUZUKI CARRY!zipo tofauti tofauti,ni zipi ambazo mashine haisumbui?zipo zenye 4WD,zenye nozzel,zenye injection,jamana mwenye...
Ipo Yombo Buza Kwa Lurenge,Mtaa wa Capetown, karibu Mama RAMA MUUZA MAJI ,INAFENSI INA MABANDA YA UWANI,INA ENEO KUBWA LA PAKINI YA GARI, HATA GARI 3 ZINAPAKI ,BEI 70M inamaongezi PIGA 0784236210
Used Rav 4 (J) for sale:
Description:
Registration year/month 1997/12
Odometer 87,000 km
Displacement 1990 cc
Steering Right
Transmission type: Automatic...
Habari zenyu wanajamvi.ebwana natafuta fundi wa chaga za kitanda changu zilizovunjika jana wakati mimi na mama nginaa tukisheherekea sikukuu ya wapendanao,yeyote anayemfahamu fundi anijuze kwa PM...
Wakuu inahitajika gari ndogo ya matumizi ya hapa mjini Dar es Salaam ambayo matumizi ya mafuta ni ikonomiko.
Iwe katika hali nzuri na iwe inatembea.
Iwe hapa hapa Dar bajeti mil 4.
Kwa walio...
Msaada kwa wenye kujua tatizo hili kwa balckberry, nilikuwa na download nimbuzz nilipomaliza ikaniambia ni restart phone, baada ya ku irestart haiwaki tena, ikiwaka ikifika kwenye initialising...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.