Nahitaji kiwanja Morogoro kisizidi 3M

Nahitaji kiwanja Morogoro kisizidi 3M

abdul_eliesikia

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
787
Reaction score
775
habari wana JF,

Mimi ni mtu ambaye naihusudu morogoro sana. Nataka kiwanja cha kujenga nyumba ya makazi maeneo ya kihonda au nanenane. Lakin kwa kuwa Moro ni kubwa basi kiwanja chochote katika maeneo yoyote ili mradi kisizidi M3 kitanifaa saana.
Hata Tanga pia inahusu zaidi. Tafadhali tufahamishane
Aksanteni Wadau
 
habari wana JF,

Mimi ni mtu ambaye naihusudu morogoro sana. Nataka kiwanja cha kujenga nyumba ya makazi maeneo ya kihonda au nanenane. Lakin kwa kuwa Moro ni kubwa basi kiwanja chochote katika maeneo yoyote ili mradi kisizidi M3 kitanifaa saana.

Aksanteni Wadauy

kipo cha 24X30 kihonda kwa chambo mazimbu road!
 
25x65 mil 6 Kihonda Kilimanjaro kimepimwa na offer ipo. njoo na milioni 6
 
Unataka kilichokuwa surveyed na serikali au hata kilicho kwenye mamlaka ya Kijiji kwako iko pouwa?
 
Unataka kilichokuwa surveyed na serikali au hata kilicho kwenye mamlaka ya Kijiji kwako iko pouwa?

Kaka hata cha serikali ya kijiji ili mradi mwnykt asichakachue. Lakin kilochopitiwa na surveyor wa serikali kinahusika sana kaka..
Pamox
 
Back
Top Bottom