Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

PATA MALI KATIKA UBORA WAKE, ALIKUWA ANAITUMIA MCHINA, AMEIACHA KATIKA HALI NZURI HAINA DOSARI, SPECIFICATIONS Model ya PC: DELL Latitude E6530 Core i5 RAM 6 SSD 232 BEI ni TZS 450,000/= tu, Njoo...
0 Reactions
4 Replies
650 Views
Habari wadau, Nahitaji frame nzuri iliyoko kwenye eneo lenye mzunguko, au kama ni Eneo la wazi naweza kuweka Container nikatengeneza vizuri nitalipia Kodi ya Eneo lako ila container la kwangu...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Makabati na mlango vinauzwa bei 1.8m maongezi yapo ukihititaji kimoja pia sawa 0685415869
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Pikipiki Boxer or TVS inahitajika iwe katika condition nzuri Location: Mwanza NB: Isiwe mbovu, na pia kama una brand nyingine kama Honda na bei reasonable nicheki.
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Habari za weekend wana Jukwaa, Nimelima mahindi mkoa wa Pwani Wilaya ya Chalinze, natarajia kuvuna mwezi huu wa 7. Nitapata zaidi ya magunia 30. Hivyo nipo hapa kama naweza pata mnunuzi.
0 Reactions
6 Replies
991 Views
Tenki hilo 2000L Bei 250,000 0744033555 Limetobolewa sehemu 3 kwa ajili ya kusambaza maji kwa nyumba za wapangaji. hapo lilipo ni la kushusha tu na kuondoka nalo
0 Reactions
5 Replies
626 Views
FURAHA YETU: Ni... √ Kukuona UNATIMIZA NDOTO YAKO ya kua na kisima chako cha maji safi kwenye eneo lako (nyumbani, shambani, gereji nk) √ Kukupa MUONGOZO na USHAURI wa namna sahihi ya matumizi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Comreds ninaomba kujuzwa niwapi naweza kupata vifaa Bora vya saluni ya kina dada. Pamoja na bei ikimpendeza. Ahsante Kwa ushirikiano.
1 Reactions
0 Replies
983 Views
Habari za saizi Jamani’, Naomba kujuzwa ni wapi naweza kupata fresh flowers nataka kutengeneza bouquet. Nipo Dar es Salaam
0 Reactions
9 Replies
1K Views
OFA! OFA! YA LAB COAT [emoji91][emoji91] Jipatie lab coat za high quality GRADE A kwa bei rahisi kabisa [emoji117]Material zake ni ile inayong'aa na rahisi kufua. [emoji117]Bei ni elfu 28 tu na...
0 Reactions
6 Replies
610 Views
Hello Wakuu, Kwa wale wote wenye mahitaji ya Kontena ama Makontena kwaajili ya kusafirishia Mizigo , Kutengenezea Fremu , Nyumba etc Karibuni, huu ndiyo uwanja wetu. Utaweza kupata Containers 20...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wafanyabiashara wa humu jukwaani. Moja kwa moja kwenye mada. Wanauzwa kuku wa Kienyeji wapo takriban 30, wenye afya njema kwabisa Ni wakubwa,wenye uzito na ujazo,utakaokuvutia wewe...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mambo vipi wakubwa, mimi ni mgeni hapa Dar es Salaam, ombi langu kwenu ni kufahamu mitaa ya Dar yenye idadi kubwa ya watu wa kipato cha hali ya chini pia inayoweza kusupport biashara ndogondogo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwandege magengeni wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani, boma linauzwa la vyumba vitano,lipo barabara ya mtaa dakika 5 main road bei MIL 8 ukubwa Sqm400.0767600250/ 0674913177
0 Reactions
2 Replies
986 Views
Habari Wana jamii natafuta chumba maeneo ya Kinondoni kiwe self contained 100k kwa mwezi Hit me up
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Excellent car Cc 2700 petrol and gas Everything excellent Price 25m negotiable Pls call 0767507487.
1 Reactions
2 Replies
538 Views
Nauza kiwanja kipo kijiji cha Mapinga - Kimere karibu na Bunju B, kina ukubwa wa 20M kwa 30M. Bei ni sh. Milioni 9. Kuna maji, umeme upo katika hatua za mwisho nguzo ndio zimesambazwa na kuwekwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natafuta kiwanja maeneo ya tegeta, Goba, bunju, tabata au kimara
0 Reactions
116 Replies
17K Views
Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya chamazi mkabala na shule ya fahari English medium km chache kutoka kituo kiitwacho bamia..! Kiwanja ni square meter 50 kwa 50 Bei ni shilingi (350,000) milioni...
0 Reactions
5 Replies
972 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…