Natafuta mnununuzi wa Mahindi

Natafuta mnununuzi wa Mahindi

Nchiyanguu

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2021
Posts
319
Reaction score
623
Habari za weekend wana Jukwaa,

Nimelima mahindi mkoa wa Pwani Wilaya ya Chalinze, natarajia kuvuna mwezi huu wa 7. Nitapata zaidi ya magunia 30.

Hivyo nipo hapa kama naweza pata mnunuzi.
 
Huna sehemu ya kuyahifadhi au una changamoto inayohitaji pesa?

Kama unapata sehemu ya kuhifadhi na huna changamoto ya kifedha, nakushauri yaweke dawa uyahifadhi uje uuze Bei nzuri mwezi wa kwanza au wa pili.
 
Kuhifadhi ni ngumu kwangu mkuu maana sehemu ya kuhifadhi sina. Nakaa city centre Dar. Na nyumba zenyewe hizi za kupanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom