Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunauza vyombo aina mbalimbali vya nyumbani,vyombo vetu ni kutoka Uturuki, Dubai pamoja na China
0 Reactions
5 Replies
657 Views
Habari ya mchana wajumbe. Ninahitaji gari ya raum ile ambayo kwa hapa nchini tumeipachika jina la new model. Bajeti iliyopo ni 5.5 lakini inaweza kupanda kidogo sana. Kama unalo tafadhali naomba...
0 Reactions
10 Replies
781 Views
Narudi tena kwenu wanajamvi kutaka kupata connection ya SOKO LA VANNILLA mbichi na kavu. Kagera tuna kilio kikubwa VANILLA imekosa wanunuzi wakulima wanapoteza matumaini kabisa mwaka huu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kod lak 500,000 malipo n miez 10 Piga simu au watsap Namba hii 0718436694
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Naombeni anayefahamu kampuni ya mizigo unayosafirisha mizigo moja kwa moja mpaka babati mjini.
0 Reactions
6 Replies
767 Views
Karibu Afritrack, Afritrack ni alama ya biashara iliyosajiliwa ya Laiki Technology Limited ambayo ni kampuni iliyoanzishwa mwezi wa Aprili 2006 na ni moja ya kampuni za kwanza kuleta huduma za...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Nyumba ipo mtaa wa kangaye kata ya nyakatNYUMBA INAUZWA IPO MTAA WA KANGAYE-NYAKATO-MWANZAo-mwanza ipo karibu na shule ya secondary KANGAYE, ina vyumba 3 na sebule, Ndani Kuna lipu na Bomba za...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Chumba kipo Gongo la Mboto Maeneo ya Kaburi Moja Mwisho wa Lami. Kina choo ndani,kioo ndani ya geti , kina madirisha ya vioo,tailiz, feni ya juu na usalama upo wa kutosha. Anayetaka aje...
1 Reactions
0 Replies
473 Views
Kluger 2002 model CC 2360 Mileage 83,000km Bei 18.5m Highly Negotiable
1 Reactions
7 Replies
856 Views
Nauza paka/nyau. Ni domestic cats, species aina ya Felis Catus. Location: Makongo Juu (opposite na nyumba ya Professor Rwekaza Mkandala) Mawasiliano: 0718 727210 (Whatsapp/SMS) Bei: 540,000/=...
11 Reactions
77 Replies
7K Views
Habari za leo wakuu? Natafuta eneo kubwa la ardhi (Babati Manyara)mjini liwe karibu na barabara ya lami umeme na maji viwepo karibu na eneo. Bajeti yangu milioni tano keshi.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau, Nahitaji sehemu/kiwanja kilichotizamana na barabara kwaajili ya kuweka kontainer la biashara. Iwe Bagamoyo road kuanzia Tegeta mpaka Mapinga Bagamoyo. Iwe na mkusanyiko wa watu na huduma...
1 Reactions
5 Replies
518 Views
Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia Ligi kubwa za ulaya Lalita spain Bundaslige ujerumani Ligi...
21 Reactions
106 Replies
15K Views
Google pixel 4xl - Used Ram 6GB Internal memory 64GB Face ID Bei: 320K Phone number: 0629 153 727
1 Reactions
5 Replies
801 Views
Ceramized mineral stone plaster/Marble wall coating. It is decorative and colored surface coating material prepared by mixing acrylic copolymer based binders and the natural granules of colored...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kisiwe mbali sana.Gari moja au daladala nauli isizidi 1000. Sehemu yenye umeme.umbali usizidi Km 15 mpaka city center. Kiwanja kiweze kujenga vyumba 4 kiwe na Ukubwa mita 500. Ofa yangu...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Tigo wameboresha Vifurushi vyao vya malipo ya baada kama ifuatavyo. DATA ONLY 15K......15GB 30K......35GB 40K.......48GB 60K.......72GB 100k........120GB COMBO 15K........10GB + dakika 400...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari za muda huu wana jamvi, Leo nawaletea faida na hasara za biashara ya kujenga nyumba na kuuza almaarufu kama “JENGA UZA” Hii ni biashara nzuri sana kwa wawekezaji ambao hawataki stress...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za wakati huu? Hii ni kwa wale wote wenye mapenzi au wanaovutiwa na shughuli za kilimo na ufugaji hususani ufugaji wa samaki Tuna toa huduma ya kuuza Vifaranga/mbegu bora ya samaki aina...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari, Kwa mnaohitaji vifaa vya production, cameraman, editor, graphic designer karibuni Tunakufanyia kazi yako kwa usahihi na umakini mkubwa Mawasiliano yetu ni 0685416752
0 Reactions
3 Replies
539 Views
Back
Top Bottom