Baada ya chuo kusajiliwa na NACTVET kwa namba REG/NACTVET/VTC/0845 mafunzo ya salon kuanzia kusuka nywele mitindo mbalimbali na masuala yote ya urembo sasa yatakuwa katika mfumo rasmi ambapo...
Habari wadau,
Nauza godown.
Lipo mkata handeni barabara kuu irudiyo msata/pwani
Lipo kilometer 2 toka mkata stand
Lipo meter 100 toka barabara kuu itokayo mkata kurudi pwani
Maji yapo mpaka...
Ninauza nyumba ipo Mwanza maduka 9, maji na umeme vipo, nyumba ipo jirani na barabara kuu ya maduka 9 kiloleli.
Bei naanzia 16 Milioni, maongezi kidogo yapo.
Simu 0717072172.
Nyumba inauzwa Magomeni
Makuti A, Mtaa wa msikiti Mdogo
Documents: Mirathi
Skwata
Meter 120 main road, tandale road.
Bei 125milioni (mazungumzo yapo)
Nipigie +255712347749 +255765755455
Kiwanja KINA sqm 1298 kipo Mbutu kigamboni, kina hatimiliki ya wizara ya ardhi isiyokuwa na deni,kutoka kiwanja kilipo kufika Baharini ni dakika 4 tu kwa kutembea.
Bei milioni 40...
Mwandege wilaya ya Mkuranga.
Mkoa wa Pwani, Mwandege.
Nyumba ina vyumba vitano na sitting room.
Ina choo cha kudumu/shimo.
Nyumba ipo kwenye lenta bado kupaua tu.
Ipo kwenye Barabara ya...
Habari za Wakati Huu?
BIASHARA YAKO INAHANGAIKA KUTAFUTA WATEJA?
Je wewe ni mtoa huduma,muagizaji au mzalishaji wa bidhaa zenye Ubora.Je unahitaji kufikia Soko Kubwa kwa Gharama Nafuu?Je unahitaji...
Nyumba ipo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76
Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000
ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master
Pia ina;
Sitting room (Kubwa)
Dining Room
Jiko kubwa
Stoo...
wana JF, kuna ile unakutana na mtu yaaan kwa jinsi anavyonukia tu unaanza kuwazia akilini "kama huyu si mtumishi wa bank basi atakuwa plan international ama kwenye wizara flan ivi serikalini" ila...
Hujambo kaka/dada.
Iwapo umekwama kufanya muamala wa kubadili na kutoa senti zako zilizopo kwenye PayPal ama Skrill, basi ujumbe huu ni wako.
Ingia inbox tusaidiane.
Habari wakuu.
Ninauza Gari yangu Nissan Tilda Namba C.
Engine: cc1490
Gari haitembei Ina changamoto zifuatazo
- Badhi za sensa zimekifa nilimwita fundi akatazama na kubadili sensa, gari iliwaka...
Nyumba ya Vyumba vitatu, jiko, sitting room, chumba kimoja master. Eneo kubwaa linatosha kuzungusha fensi, dakika 5 main road ya kilwa road.
Mwandege iko mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga, unaanza...
Jinsi ya kujisajili katika mfumo wa NeST kama Mzabuni Fuata hatua zifuatazo;
1. Ingia kwenye Tovuti: www.nest.go.tz
2. Bofya 'Register as a Tenderer'
3. Chagua nchi kwa kubofya 'Select Country'...
Wakuu kuna chaka nipo kama mnavojua najihusisha na mambo ya uvuvi na sehemu niliopo kuna changamoto ya usafiri maana ni porin sasa nilikuwa nahitaji mtu ambaye tunaweza kuingia mkataba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.