Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Huduma ya kuagizia bidhaa kutoka dubai bado zinaendelea leo nawaletea GAMING PC kwa NUSU BEI 🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪 Dell Precision 5520 4K core i7 7th generation RAM 32Gb STORAGE 512Gb SSD...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Wakuu! Nina uhitaji wa gari iliyopata ajali subaru Impreza model ya mwaka 2008-2010. Kwa mwenye salvage ya aina hiyo ya gari tunaweza kuwasiliana.
1 Reactions
0 Replies
792 Views
Karibuni wapendwa Simu HAINA TATIZO LOLOTE Inapatikana maeneo ya airport DSM Bei yake NI 160k Serious buyers karibuni DM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama nilivyo sema ninahitaji nyumba ya kununua mabibo ofa yangu mil 20 madalali wekeni picha msilete biashara za kufatana inbox
0 Reactions
2 Replies
607 Views
Kama nilivyo sema ninahitaji flemu ya kununua kariakoo ipo mil 10 hapa
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wadau nahitaji licenced windows 10pro na ms office 2016 Ninatoa 100k Nicheki 0621973591. Note: Sihitaji pirated wala cracked version. Ikiwa kwenye cd yake ni bora zaidi.
0 Reactions
2 Replies
711 Views
Habari Wana JF? Nahitaji Alphard nyeusi mbili kwa ajili ya Harusi kesho Dar es salaam, naomba mwenye connection au ambae anazo anicheck PM. Thanks.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za muda huu wanajamii Forums. Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema alineyetujalia uzima. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye mada yangu. Kutokana na mwaka wa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nina mitiki hekari mbili kasoro, ina miaka sita sasa.. Ninataka kuiuza nahitaji serious buyer maana hali imekaza sana.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Natafuta wanunuzi wa pumba za mahindi, nikipata soko la Mbeya, Arusha itakuwa bora cause wengi wanapeleka huko mimi niko Katavi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hisense Smart TV 4k inch 75 bado mpya nyembamba imenyooka hizo picha tu ila ukiiona live ndo utakubali, imetumika miezii 3 inafaa kuoneshea mpira maana ni kubwa mwenyewe anashida na pesa haraka...
2 Reactions
77 Replies
7K Views
Nyumba inauzwa Kibaha kwa Mfipa(upande wa chuo) Vyumba vitatu(master zipo 2) Seble na jiko+choo cha public ndani Eneo ni 23×33 Umeme upo, maji yapo Km 2 toka moro road Ndo inafanyiwa finishing Ipo...
0 Reactions
3 Replies
682 Views
Toyota starlet inauzwa iko katika hali nzuri bei ni 5.5m ipo na documents zote
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nauza kiti cha ofisini bado kiko vizuri nauza shilingi 70000 napatikana mwananyamala kwa kopa namba yangu 0716647360
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii nyumba inauzwa kwabei nafuu sana..ipo wilaya yamkuranga kijiji cha mwanadilatu iko kalibu sana na barabara.kwakutokea kitonga dar es saam kufika ilipo nyumba nidakika10 kwa bodaboda..nyumba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nahitaj vitunguu maji vilivyokauka vizuri kwa ajili ya kusafirisha. Kwa sasa nitachukua gunia/net 110 ila ikifika nitarudia ingine. So nahitaj wale wenye kulima kitunguu ya kutosha na sio wa...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari. Kama ambavyo kichwa cha habari kisemavyo hapo juu natafuta kiwanja 25 mita kwa 20 mita nina sh 1m. Eneo Kibaha yote isipokuwa Mlandizi na Bagamoyo. Ni pm
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Nahitaji kufahamu mahali na bei nzuri ya gaming laptop. Specs ziwe; PC ya MSI Specs i7, ram 32 ddr4, ssd 512, Gen 11 Invidia gforce RTX 3060 au zaidi Graphics card 6gb au zaidi Hata brands za...
0 Reactions
12 Replies
798 Views
Nauza vioo vya saloon viko viwili bado vipya kabisa ni vikubwa kila kioo kimoja nauza shilingi 100000 napatikana mwananyamala kwa kopa namba yangu ya simu ni 0716647360
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom