Wakazi wa Dar es Salaam naombeni msaada

Wakazi wa Dar es Salaam naombeni msaada

Mvalaf

Member
Joined
Jul 15, 2023
Posts
9
Reaction score
3
Mambo vipi wakubwa, mimi ni mgeni hapa Dar es Salaam, ombi langu kwenu ni kufahamu mitaa ya Dar yenye idadi kubwa ya watu wa kipato cha hali ya chini pia inayoweza kusupport biashara ndogondogo, binafsi nadeal na kupaka rangi na kucha
 
Wilaya ya Temeke yote, Manzese, Tandale, Kigogo, mburahati, Buguruni, vingunguti, mnyamani, gongo la mboto, Chanika anza na hizo.
 
Ahsante sana, nimeanza kuzunguka mitaa ya mbagala rangi3, japo nina siku 2 ila angalau panaleta matumaini, lakini ombi langu jengine ni idea ya vibiashara vidogo vya kupitisha keenye bars mida ya usiku ili niwe nafanya kazi usiku pia
 
Kupaka rangi na kucha??
Nenda ukae stand ya magufuli pale..wamama wanasubiri usafiri wanapaka rangi
Sawa mkuu nitatembelea huko pia ili niweze pata uzoefu mpya na vipi mkuu unafikiri keenye bars ni bidhaa gani naweza kuwa napitisha usiku zonazonunulika sana,sina uzoefu na mji huu msaada katika hilo pia
 
Sawa mkuu nitatembelea huko pia ili niweze pata uzoefu mpya,na vipi mkuu unafikiri keenye bars ni bidhaa gani naweza kuwa napitisha usiku zonazonunulika sana,sina uzoefu na mji huu msaada katika hilo pia
Bar sijui ngoja waje wakina mzee wa bwaksi wakupe majibu
 
Sawa mkuu nitatembelea huko pia ili niweze pata uzoefu mpya,na vipi mkuu unafikiri keenye bars ni bidhaa gani naweza kuwa napitisha usiku zonazonunulika sana,sina uzoefu na mji huu msaada katika hilo pia
Sawa mkuu tupo pamoja
 
Sawa mkuu nitatembelea huko pia ili niweze pata uzoefu mpya,na vipi mkuu unafikiri keenye bars ni bidhaa gani naweza kuwa napitisha usiku zonazonunulika sana,sina uzoefu na mji huu msaada katika hilo pia
Nguo na viatu vya mtumba.
 
Nguo na viatu vya mtumba.
Vitu hatununui usiku siku hizi, zile taa za bar usiku raba mbovu unaiona babu kubwa kesho asubuhi ukiamka unajuta umeingizwa cha kike.

Kwahiyo tumepitisha Azimio hakuna kununuwa vitu usiku ukiwa bar.
 
Noted nimempa time ya kufanya hiyo biz. Night is rare.
 
Sawa mkuu nitatembelea huko pia ili niweze pata uzoefu mpya na vipi mkuu unafikiri keenye bars ni bidhaa gani naweza kuwa napitisha usiku zonazonunulika sana,sina uzoefu na mji huu msaada katika hilo pia
Charge za simu,e arphones,raba za mtumba,shati za mtumba,sandles za kimasai au za kawaida tu
 
huo mda mwingine nakuwa nazunguka kupaka rangi wadada
 
Back
Top Bottom