Natafuta eneo/frame ya biashara ya fedha

Natafuta eneo/frame ya biashara ya fedha

political Engineer 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
296
Reaction score
793
Habari wadau,

Nahitaji frame nzuri iliyoko kwenye eneo lenye mzunguko, au kama ni Eneo la wazi naweza kuweka Container nikatengeneza vizuri nitalipia Kodi ya Eneo lako ila container la kwangu.

Naomba kama kuna mtu analo au taarifa zake naomba anipe taarifa tafadhali

Karibu PM
 
Frem Iko kariakoo ila Kwa mwaka ni milion 9 na kilemba milion 10
 
Sa si inategemea na eneo mbele pale naona pamejaa si mchezo
Kariakoo Kuna biashara sana. Ukitulia unapiga pesa tu! Mazingira hayo au huku mtaa wa Kiungani na Sikukuu Kuna uwakala wa kusuasua mazingira Yale kawekeze pale
 
Back
Top Bottom