Natafuta kiwanja maeneo haya Dar es Salaam

Wa boko na chamazi wekeni bei wakuu, unaweka bei hapa wanajanvi nao wacheki privacy za nini ..??
 
poa ngoja nihangaike hili dili ni zuri kaka hata cha mpira wa wavu? maana vipo vingi vya mipira wa miguu au unataka cha aina gani kujenga??
 
Watu wanataja ninacho,toa maelezo kamili ninacho kiko wapi? bei? ukubwa? kama mnauza kihalali fungukeni
 
chanika kwa ngwale kipo ni krb kbs na barabara ukubwa wa kiwanja ni17/17 na kuna banda hapo bei 15m maelewano yapo
 
Wanaficha utadhani wanauza mihadarati. Wewe teja wako wengi, wanaotafuta viwanja. kuna mtu anahitaji mwanza mjini, buhongwa, nyegezi au maeneo yanayozunguka mji.
 
Natafuta kiwanja maeneo ya tegeta, Goba, bunju, tabata au kimara
Nina kiwanja bunju cha skwata kina ukubwa wa sqm 700 bei milion 13. nina kiwanja bunju beach kilicho pimwa kina sqm 1250 kina hati ya serikal bei milion 95. nina kiwanja mbweni jkt sqm 750 karibu na beach kina hati ya serikal bei milion 70. nina kiwanja mbweni teta karibu na chuo cha NBA chuo cha uhasibu kiwancha kina sqm 1700 kina hati ya serikali bei tsh 120 mpaka 110 milion. .......ninavyo vingi sana vya ukubwa tofauti na bei tofauti kulingana na maeneo tunavyo vilivyo pimwa na visivyo pimwa for more details check me 0712464777. pia tunazo nyumba za kuuza nzuri maeneo tofaut. Karibuni sana.
 
Natafuta kiwanja maeneo ya tegeta, Goba, bunju, tabata au kimara
nauza hiki hapa kama upo interested ni PM tuongee

IMG_20150724_182036.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom