Habari, kama kichwa cha habari kinavyojieleza...
•Nyumba ipo Muriet Mashariki, mita 200 kutoka barabara ya East Africa
• Nyumba ina vyumba kumi, (single room) na ukubwa wa eneo ya nyumba ni...
Nguo kali za mitumba za kiume grade A, Cream kabisa.
Wanaume
1. Mashati ya ofisini
2. Mashati casual
3. Form 6
4. Jeans mkataba
5. Pensi
7. Flana
9. Cardet
10. Suaruali za vitambaa
Bei zetu ni...
Jipatie laptop stand, kwa elf 15000 Tu, wengi mnajua bei zake, mi nawapa kwa 15k... Faida za laptop stand, inaipa uwezo mzuri pc yako kuingiza na kutoa hewa, hivyo Una avoid over heat, unaweza...
Jipatie simu ndogo ya botton aina ya Nokia kwa bei ya jumla na rejareja:
Nokia 106
Berri 1700mAh
Full box
Warranty 12 month
Bei: 25000/=
Jumla 21000/=
Tunapatikana Dar es salaam,mbagala...
Taa za Solar za kufunga ukutani, Tsh 35000.
zinawaka automatic jioni na kuzima asubuhi.unachagua mwanga unaopenda.
tupo kariakoo dsm.
0747591578.call/whatsapp
Habari wakuu hivi ni Viwanja viko Mlandizi Ruvu darajani nyuma ya shule ya msingi ruvu darajani umbali 300m tu kutoka barabara kuu ya morogoro Road ni vizuri sana kwa makazi vinauzwa 2,500,000/=...
Bei za vifurushi vya malipo ya canal kwa mwezi.
1. TOUT CANAL + Faranga za kirundi 120,000/=
premium package sawa na shilingi 130,000/= Canal Sport
2. EVASION+ Faranga za kirundi 53,000/=...
Husika na kichwa hapo juu,Natafuta boss Mwenye gari Prado 120 tufanye biashara ya kuikodisha
Gari Hii hua inalipwa kwa siku na mafuta Mara nyingi mteja ndo hua anaweka Sie hua tunachaji Bei ya...
Nyumba ipo Tanga Mjini Mitaa ya kisosora
*Room 4 (Kimoja master)
*Sebule
*Jiko
*Public Toilet
*Umeme✅
*Maji✅
Bei 65 milioni mazungumzo yapo...Kwa mteja Serious piga simu 0683703076 au whatsapp...
Mali inayouzwa: Nyumba ya kupangisha yenye jumla ya vyumba 3 na nyumba moja kubwa ambayo bado ujenzi wake unaendelea.
Ukubwa wa plot: futi 100*50 (465 sq metres).
Mahali: Chamazi, karibu na Azam...
Simu:
Nauza Inverter
Brand: Victron Energy
Model: Multiplus
Power: 2000VA
System Battery: 24 VDC
Both inverter and charger
Bei 1.5m Fixed
Growatt
Model SPF 3000 HVM
Power: 3000VA
System...
Kiwanja chenye Banda la kuku na nyumba ya vyumba viwili kinauzwa.
Ukubwa: 450 mita za eneo
Mahali: Kinondo Mskiti Mpya, Bunju
Umbali: Dakika 7 kutoka Barabara ya Bagamoyo
Umiliki: Hati
Bei: 35...
Touch screen ni sifa kulingana na project inayofanyika :
SIFA ZAKE:
1. Iwe brand yoyote
2. Iwe na hard disk yenye ukubwa wa kutosha ( ssd au za zamani)
3.Iwe na processor imara ya generation isiyo...
Tv showcase nzuri zinavutia zipo kimara mwisho naziuza kila moja tsh 130,000/=
Unaweza piga/whatsap 0719478826
Deliver nafanya pia ukihitaji✅
Karibu sana
Nmekuwa nikimiliki eneo kubwa sana, katka eneo langu kuna sehem haya madini yanapatikana kwa wingi sana sasa natafuta soko lake
Atakae nipatia soko lazma atapata 5% ya mauzo
Ahsanten
Kampuni : SEAGATE
Size: 1 TB
Contacts: PM
Hard Disk nzuri haina shida aina yoyote,ukihitaji nikuwekee na movie aina zozote utakazotaka inawezekana pia (bei ya movie tutaongea).
Nikikupa HARD...
Chainsaw aina ya Newtop inauzwa
Imetumika miezi mitatu,ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote,nililinunua kwa ajili ya kuandaa shamba sasa nimemaliza sina uhitaji nayo tena ndo maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.