Viwanja vinapatikana kibaha mailimoja

Viwanja vinapatikana kibaha mailimoja

TRACE

Senior Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
120
Reaction score
46
Habari za asubuhi wana JF.Napenda kuwatangazia kuwa nauza viwanja ila dalali hatakiwi.Viko viwanja nane tu vimebaki vina ukubwa wa mita 15x15 kwa bei ya TShs.1,500,000/=

Kilometa 4.5 toka Mizani ya Kibaha upande wa kulia kama unatokea mjini.Barabara inafika mpaka kwenye viwanja,umeme na maji vipo karibu na kufika site.Naomba kwa wale watakaohitaji au kutaka kujua zaidi wanipigie kwa namba 0716 322169.
 
ahh 15 x 15, vidogo sana bana, ni bora uongeze halafu uongeze bei we vipi bana!! sasa si kama kuna....... ukubwa wa sebule yangu mkuu?
 
Naomba Mama Joe na Kiresua mniambie mnataka vya ukubwa gani kwani naweza ku customize ilihali mteja ana hela inayolingana na ukubwa kwani 15x1 ni sawa na 100,000/=
 
Back
Top Bottom