Picha pls!!!!!Nsg zangu wana JF
Nipo rikizo hapa nyumbani Dar tangu Last week toka Uingereza,Nina simu kadhaa ninauza kwa washikaji wenye hitaji,Nina Iphone 4S 16gb (2)mpya kabisa na mabox yake rangi nyeupe na nyeusi bei nauza laki 9 na nusu kwa kila moja,nina HTC desire langi grey nauza laki 8,na blackberry torch 9810 bei laki 8 na nusu,na laptop HP pavilion laki 7,tuwasiliane 0788451943