Anatafutwa fundi cherehani mzoefu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anatafutwa fundi cherehani mzoefu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbwambo, May 21, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Nina mdogo wangu ambaye amemaliza kozi ya kushona nguo lakini natafuta fundi atakayempatia uzoefu wa kutosha
  awe anajuwa kudarizi pia.
  Atapata malipo gani?

  1. Kodi free atakuwa halipi ya mkataba wa chumba
  2. Umeme bure
  3. Ulinzi bure

  mgao
  atapata robo ya gharama ya kushona nguo

  wasiliana na 0713 68 96 65
   
Loading...