wana jf poleni na majukumu ,napenda kuwajulisaha kwamba ninauza nguo za mtumba zenye ubora wa hali ya juu,nguo hizo ni za wakina dada,wakina mama na watoto wa jinsia zote.size zotezinapatika...
Natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili maeneo Kimara,ubungo,mbezi,kijitonyama,mwenge.....kodi TSH300,000-TSH400,000,ikipungua ndio furaha yangu.
Tafadhali mwenye maujuzi haya nisaidie...
ndugu wana JF, napenda kuuliza hili duka la costmetics lijulikanalo kama ARISE BEAUTY SUPPLY lipo dar sehemu gani? nahitaji kuwa naagiza mzigo kutoka kwao, kwani nasikia ni agent wa costmetics...
Nauza body ya gari aina ya mistubishi Chariot ni lina kila kitu lakini engine yake ndo inasumbua, kwahiyo unaweza weka engine ya Rav 4 na ukaendelea kuitumia bei ni million 3 tu, gari ni ya japan...
BRAND NEW SAMSUNG MINI LAPTOP
Processor 1.6 Intel Atom
Memory: 1GB DDR3
Hard Drive: 320GB
OS: FREEDOS
1 YEAR WARRANTY HARDWARE
UNBEATABLE PRICE 405,000/=
Available Only @ Uhuru Computers Call...
Hiyo hapo kwenye attachment, au unaweza kui Google ujionee mwenyewe.
Inauwezo wakuchukuwa Quality Video hata iwe usiku kwani ina outmatic light..
Camera ndio usiseme kwani inachukuwa saiz yoyote...
Hi mwenye kuhitaji Bajaj, nauza tsh 2.5m, imekaa road 1 year, ina hali safi kabisa, haijafunguliwa engine ( imebadilioshwa caburator tu), derva wake ni mtu mzuri sana na anaitunza kw ahali ya juu...
OFA KABAMBE
speedy print inakuletea fursa ya ku chapa A3 (full color) kwa Shiling 700 tu.
ofisi zetu zipo mtaa wa Sewa karibu mtaa unaofuatia baada ya mtaa wa Hospitali ya Hindu Mandal...
Poleni na hekaheka za msiba na sherehe ya Pasaka.
Natumai wengi tutakuwa na afya njema.
Nina shamba au waweza kuliita kiwanja kulingana na utakavyotaka kulitumia. Lina ukubwa wa hekari 2 na...
nauza simu tajwa hapo juu.. nadhani tangazo lake linafahamika kwenye TV so wakuu simu inajulikana.. nimetumia siku tano... ina kila kitu ambacho nimenunua pamoja nayo pale vodashop mwezi uliopita...
nauza simu tajwa hapo juu.. nadhani tangazo lake linafahamika kwenye TV so wakuu simu inajulikana.. nimetumia siku tano... ina kila kitu ambacho nimenunua pamoja nayo pale vodashop mwezi uliopita...
Habari wana JF
Kuna nyumba inapatikana maeneo ya Tabata Mawenzi, Ina 3 Bedrooms (One Masterbedroom), Separate Bathroom and Toillet, Kitchen and Store.
Eneo la Nje ni kubwa sana (Sio chini ya...