Tangazo: Shamba/Kiwanja kinauzwa eneo la Mbezi Salasala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo: Shamba/Kiwanja kinauzwa eneo la Mbezi Salasala

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kisusi Mohammed, Apr 10, 2012.

 1. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Poleni na hekaheka za msiba na sherehe ya Pasaka.

  Natumai wengi tutakuwa na afya njema.

  Nina shamba au waweza kuliita kiwanja kulingana na utakavyotaka kulitumia. Lina ukubwa wa hekari 2 na nusu (mita za mraba 11,025/kwa kingereza ni 11,025square metres). Eneo lenyewe lipo umbali wa mita 150 kutoka barabara kuu ya kuelekea Tegeta (nyuma kidogo ya sheli ya Oilcom yenye duka la Zizou), lina hati ya umiliki ya serikali ya mtaa (halijawahi kupimwa wala kuendelezwa). Eneo hili linauzwa kwa Tshs. 1.7 Billion (Tshs. 1,700,000,000/=). Kwa anaehitaji kuliona/kulikagua anaweza kupiga cmu (0715555512 au 0787111123) au akatuma PM.

  NB: HAKUNA DALALI, UNAFANYA BIASHARA NA MMILIKI.

  Nashukuru kwa kusoma tangazo, karibu tufanye biashara.
   
 2. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuwa serious kidogo mkuu, sioni ni kwanini usishughulikie lipimwe na upate hati kamili za umiliki kisha uza hiyo bei unayotaja.haraka hizi ni za nini?
   
 3. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Sina uwezo wa kufanya hizo taratibu za upimaji mkuu, ningeishalipima cku nyingi!
   
Loading...