habari zenu wanajamvi! Mwenye external cd rom inahitajika, iwe ni dvd writer. Ukiwa nayo nipm tafadhal, specification pamoja na bei ni muhim. Ahsanten!
Used and refurbished -in a box;1.8Ghz duo core/80GB/1GB RAM/DVDRW/14" screen/3 month warranty-8 pcs available.PM or rakeyescarl@yahoo.ie.
599,999TZS -discount(free delivery)
pm me for more information and Questions.
Maswali Yanaruhusiwa.
\\sababu za kuuza ni Kutaka kuwa na Mashine Mpya Yenye Webcam.
COMPUTER INA SIFA ZIFUATAZO
RAM 4GB
HDD 250GB
PROCESSOR DUO 2...
Wadau poleni na mishemishe za kila siku.naomba mwenye information yeyote hapo juu anipm tufanye biashara nahitaji kiwanja iringa mjini kiwe medium size na kiwe na offer vilevile kisiwe katikati ya...
Habari,
Ninauza pik up single cabin 12-r engine ya 1989
Ni toyota hilux ya petrol iko registered na katika condition nzuri
ipo arusha
Bei ni 6.5m
Kwa atakayehitaji tuwasiliane...
Jamani kiukweli ni kwamba sina uwezo wa kuingia dukani na kuulizia hizi simu naomba mwenye nayo bei ninayo laki mbili ,iwe ina uwezo wa 3g au touch screen iliyo tumika ila isiwe mbovu hii kwa watu...
Habari za majukumu wakuu, natumai mna afya njema.
Ninauza gari yenye maelezo yafuatayo:
Aina: Nissan Bluebird
Year of make: 1995
Colour: Dark Metallic Blue (imeungua na jua)
Odometer...
Samsung SGH-E250,inauzwa ni used,ina internet,google opera mini,inatumia memory,camera,video camera,bluetooth pia ni ya slide.BEI 60,000/= TU.SMS AU PIGA NAMBA 0719271039 AU 0765 618067.
inapatikana tabata bima opposite na st.mary.
ni self container yenye vyumba 4,
unaweza paki gari hata 5,
ina uzio mkubwa na bado mpyaaaa,
bei yake ni sh. laki 4 na unalipia miezi kuanzia 6...
Wadau,
Kwa anayehitaji viwanja (mashamba) maeneo ya Majohe karibu na Chuo cha Ualimu cha West Dsm Teachers College, vinapatikana.
Ukubwa ni mita
20x35, milioni 5
30x 70 milioni 7
20x20...
Zinahitajika Suzuki Swift from 2003, Suzuki Escudo frm 1995 na RaV4 from 1998 mileage zisizidi 100k, ziwe 5 door, ziwe kwenye hali nzuri sana. Tuma picha ya gari pamoja na offer yako kwenye...
Poleni na hekaheka za msiba na sherehe ya Pasaka.
Natumai wengi tutakuwa na afya njema.
Nina shamba au waweza kuliita kiwanja kulingana na utakavyotaka kulitumia. Lina ukubwa wa hekari 2 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.