Kwa anayetafuta nyumba kwa ajili ya daycare/nursery school | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa anayetafuta nyumba kwa ajili ya daycare/nursery school

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Sita Sita, Apr 10, 2012.

 1. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Habari wana JF

  Kuna nyumba inapatikana maeneo ya Tabata Mawenzi, Ina 3 Bedrooms (One Masterbedroom), Separate Bathroom and Toillet, Kitchen and Store.

  Eneo la Nje ni kubwa sana (Sio chini ya Robo heka) na linatosha kuweka michezo ya watoto

  Choo cha Nje na Storeroom ya Nje vinapatikana pia.

  Anahitajika Mpangaji mwenye nia ya kuweka Daycare/ Nursery School na SIO MPANGAJI WA KUISHI.

  Bei ni mapatano; Serious people should call 0778708284 au niPM
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Haiuzwi?
   
 3. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  haiuzwi mkuu.
   
Loading...